Car-shades zinajulikana kwa ubora wake uimara, kudumu kwa muda mrefu na ni mbadale mzuri wa kuzuia uharibifu wa gari kutokana na mvua na jua inapokuwa imeegeshwa nyumbani au ofisini.
Kuzuia gari isipasuke kutokana na jua au mvua
Hupendezesha nyumba yako na kuonekana ya kisasa
hutumika kwa kupumzika hatakucheza watoto pia na shughuli zingine za nyumbani
Ni imara na zinaubora wa hali ya juu
Zinatengenezwa kwa ukubwa na muundo tofauti
Zina rangi za kupendeza
Bei zetu ni nafuu sana na Hazichukui nafasi (space economy)